TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
Taarifa ya Ufundi Stadi:
Karibu katika nafasi za mafunzo ya ufundi stadi kwa mikoa tofauti. Chagua mkoa wako na pakua taarifa na fomu ya maombi.
Maelekezo ya Uombaji:
- Pakua tangazo na fomu ya maombi kwa mkoa wako
- Jaza fomu kwa uangalifu
- Wasilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
Hakikisha umeweka hati zote zinazohitajika
Mikoa ya Kagera na Geita
Mkoa wa Katavi
Maelezo Muhimu:
Watakaokidhi vigezo na masharti tu ndio watakaochaguliwa.
Maelekezo zaidi na taratibu zote za kujiunga yanapatikana kwenye formu